Makapuku Forum

Uko sahihi mkuu, Afcon ya mwaka 1996 pia walikuwepo akina Dr Khumalo, Mark Fish, Phil Masinga ambapo moto uliendelea mpaka World Cup ya 1998 yeye akiwa ndio nahodha.
Bila kumsahau Quinton Fortune na kipa tolu kimbaumbau mzungu sijui aliitwa Vonk
Hii ndo timu ya mwisho ambayo wazungu walikuwa tegemeo na kupata namba kikosi cha kwanza

Siku hizi full weusi, wazungu wapo kwenye rugby tu

.....
 
Waiting mkuu
Mrejesho

Messi hajawahi kumfunga Buffon

Ila ana kumbukumbu ya makipa hawa wawili
Peter Cech alisema hajawahi kufungwa na Messi matokeo yake alikuja kufungwa magoli mawili kwa miguu yote kati ya matatu akiwa na Arsenal
Manuel Neuer naye alisema vivyo hivyo akaja kufungwa long range goal

Sijui kwa mkongwe Buffon mechi ya marudiano
 
Cech akiwa Chelsea fc hajawahi kufungwa na messi ila akiwa arsenal akalambishwa ..marudiano simpi nafasi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…