Monring mama wa watoto wangu..Morning all!!
Mornie my handsome husband!!!
Muwe na jumatano iliyo Barikiwa
Pamojaa bhinamuu
MorningMorning wakuu
Mke ya Kapuku mimi!Mke ya kapuku tena?
That's true Mr TNUKUU YA LEO
Someone is sitting in the shade today because someone planted a tree a longtime ago
Kuna mtu amekaa kwenye kivuli leo kwa kuwa kuna mtu alipanda mti siku nyingi
Haya maneno yalipatwa kusemwa na mwekeaji, mfanyabishara wa kimarekani Warren Buffett aliyezaliwa 30/08/1930 ktk jiji la omaha, Nebraska nchini marekani.
Buffet kwa sasa ni tajiri no. 2 akiwa na utajiri unaokadiriwa kufikia $ 75.6 billion.
Buffett ni mkurugenzi na mmiliki wa makapuni ya Barkshire Hathaway yenye makao makuu mji wa omaha, Nebraska.
Morning motivational.
Buffet anazungumzia maisha ya baadaye, ili uweze kuwa na maisha mazuri lazima uwe na maadalizi sasa hivi..
Panda mti leo ili kesho ufaidi kivuli chake, panda mti ili ufaidi matunda yake..
Transcend.
Poleni sana koz kilichotokea hakikutegemewa hata kidogo!!Jamani asubuhi njema familia yangu
Jana haikuwa choise juventus wametupiga tatu bila [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hiyo Simbachawene amesema nn!?
Mkuu iko vizr hii... Inatupa morali ya kutimiza wajibu leo.... Ubalikiwe sanaNUKUU YA LEO
Someone is sitting in the shade today because someone planted a tree a longtime ago
Kuna mtu amekaa kwenye kivuli leo kwa kuwa kuna mtu alipanda mti siku nyingi
Haya maneno yalipatwa kusemwa na mwekeaji, mfanyabishara wa kimarekani Warren Buffett aliyezaliwa 30/08/1930 ktk jiji la omaha, Nebraska nchini marekani.
Buffet kwa sasa ni tajiri no. 2 akiwa na utajiri unaokadiriwa kufikia $ 75.6 billion.
Buffett ni mkurugenzi na mmiliki wa makapuni ya Barkshire Hathaway yenye makao makuu mji wa omaha, Nebraska.
Morning motivational.
Buffet anazungumzia maisha ya baadaye, ili uweze kuwa na maisha mazuri lazima uwe na maadalizi sasa hivi..
Panda mti leo ili kesho ufaidi kivuli chake, panda mti ili ufaidi matunda yake..
Transcend.
Asantee mkuuMkuu iko vizr hii... Inatupa morali ya kutimiza wajibu leo.... Ubalikiwe sana
Morning....Goodmorning family
Word, Thanks.NUKUU YA LEO
Someone is sitting in the shade today because someone planted a tree a longtime ago
Kuna mtu amekaa kwenye kivuli leo kwa kuwa kuna mtu alipanda mti siku nyingi
Haya maneno yalipatwa kusemwa na mwekeaji, mfanyabishara wa kimarekani Warren Buffett aliyezaliwa 30/08/1930 ktk jiji la omaha, Nebraska nchini marekani.
Buffet kwa sasa ni tajiri no. 2 akiwa na utajiri unaokadiriwa kufikia $ 75.6 billion.
Buffett ni mkurugenzi na mmiliki wa makapuni ya Barkshire Hathaway yenye makao makuu mji wa omaha, Nebraska.
Morning motivational.
Buffet anazungumzia maisha ya baadaye, ili uweze kuwa na maisha mazuri lazima uwe na maadalizi sasa hivi..
Panda mti leo ili kesho ufaidi kivuli chake, panda mti ili ufaidi matunda yake..
Transcend.
Good morning Baba mchuchuGoodmorning family