Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,011
- 31,798
Duuuh kukuzana kote kunikaribisha leo unajifanya hujamwona mgeni au nitakuwa nimekosea njia ya kuingilia nirudi nikajianze upya?Sio Sitaki wewe ulisema utakuja mwenyewe kwa miguu yako naona safari yako ilikuwa ya kuunga unga ndio maana umefika leo.
BTW karibu sana Mndali
Huku ndio home sweet home
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nyinyi T na Leee nimekuja JF kuchat sijaja kubeba waume za watu kwenye miugomvi yenu huko msinishirikishe kama hamjui utani hana haja ya Ku quote kitu alicho post MTU km unahisi kimekukeraa llooooo wanaume ninao mpk wengine nimewasahauuu poleni mnaobabaika fyuuuuuuu
Unanijuaaa nikianza vipapaiiiMdogo wangu mbona sisi na lee tunataniana [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe umechukulia serious...?
Huu ndo utani wetu wala haujaanza leo...
Asante mkuuKaribu mkuu
Sasa mbona kule mnakula ban kila siku...Akaaaa naludi zang MMU bora Kule Mara 1000
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaaaa ! Poleee..
Uwe unapita hata kutoa hi...
Hahaaa![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hehehe imekuwaje tena hapo Bwana lee empire[emoji23] [emoji23] [emoji23]
mkuu unaamini hivooo??Juve ana tabia ya kubadilika japo kwa mechi Tatu zilizopita hajacheza ipasavyo hasa game dhidi ya Napoli akipoteza kwa 3-2 ile performance haikuwa nzuri pia game ya juzi vivyo hivyo, yote kwa yote game ni nzuri sana MSN wanataka kurudisha ubutu walioupata dhidi ya Malaga
Kazi kwakoNtatembea na sime nile ban buree
Ila kwa kuwa umenipenda mwenyewe ngojaa
Kwani ni dondola bossNyagei
Kama kawaida yako..
Kinachokuchekesha [emoji57] [emoji57] [emoji57][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nadhani wengine hawafahamu kwamba huu ni utani.Hahaaa!
Umeona jovitha alivyofunguka...! [emoji23][emoji23][emoji23]
Walahi nimecheka hadi basii...!
Sijaelewa naomba unielewesheUnajua ninavyosema sitaki ninamaanisha[emoji114] [emoji114] [emoji124] [emoji124]
[emoji120]Basi Sawa
Nyagei hakikisha jovitha anabaki kuwa member wa humu...Unataka uende wapi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aka mwenzangu mi siuwezi T & Lee kwaheriniii akuu kunguru muoga hukwepesha mbawa zake[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nilitekwa mwenzioNaendelea vizuri mwaya
Vipi wewe apo
AhaaaaaaaaaahNgoja ni logg off kabisaa