Makapuku Forum

Asante ubarikiwe
 
Ngoja nitoke tuu humu, naona giza tuu
 
Siasa imeharibu kila kitu mkuu.
Sana mkuu..

Nepotism ni simu mbaya sana! Na bado inaendelea kuitafuna serikali yetu..

Ila viongozi wengi hawalioni hili, hao watu wanaopendelewa bila kuwa na sifa za kubeba haya majukumu watakuja kutuhaibisha tunapokutana Tz vs jamii ya kimataifa..

Ni hasara sana, siku Tz sina misuguano na nchi kubwa ambazo zimeshika miiko na tamaduni ya kazi za kiusalama ndio wataona athari ya haya wanayoyafanya...

We will perish in a drop of a feather..!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…