Makapuku Forum

Hizo man u na Madrid ndo vitu gani
Club za mpira...

Kwanza babu kuna Timu za Taifa afu kuna Club za mpira.

Timu ya Taifa inazaidi ya vikosi 3..

Kuna team kubwa-kwa anijili ya michuano ya kimataifa..

Kuna timu za vijana- Under 21
-under 19
-under 17

Kwenye vilabu vya mpira pia kuna team za vijana na team za watoto pia..
 
Aaaaaah!

Ninyi mnataka kunipangia sasa!

I loved her as i found her..! Mungu na dunia vilishamshape hivi alivyo..

Sitaki kumodify chochote..! Nampenda hivi hivi..otherwise atake yeye
Asante love
Nakupenda pia!!!

Mie nilitaka nijuemo mpira kidogo bhana, hizo posts za Nyagei huwa naona kizunguzungu kuzisoma!! Naishia ku like tu!!
 
Eeenhee
 
Asante mume wangu
Ni vile Nakupenda tuu
Mpira nitakufundisha mimi, afu mdogo wako shunie na nyagei watakuwa wanaongezea ongezea kidogo...

Hapa Tz, sina wasiwasi sanaa maana najua unapenda Yanga ...mimi mmeo ni simba..

Kila nchi kuna ina mashindano ya vilabu vya mpira ( yaani ligi) na pia kuna mashindano ya kimataifa..

Kama sasa hivi hapa Tz kuna team ya serengeti boys -ambao ni U17 hawa wako kambini nchini morocco kwa ajili ya mashindano ya bara la Africa..

So hapa umeshaelewa sasa kuwa kuna vilabu kama simba, yanga, azam,mbao Fc, majimaji mbeya fc. n.k

Lakini pia kuna team ya taifa..
 
Asante mume wangu!!!
Hizi za Tz sina shaka nazo saana!!!

Shida kubwa inakuja kwenye zile timu za nje jamani!!
 
Asante mume wangu
Ni vile Nakupenda tuu
Ona picha za zile klabu za mpira ambazo nilitamani uwe shabiki wake...

Achana na lee...

Waona kwanza man united, timu ambayo mimi nashabikia, mdogo wako anashabikia na mlinzi wako nyagei anashabikia..









Hiyo ndio club ya manchester united yenye makazi yake katika jiji la manchester..nchini uingereza..

Ni moja ya club kongwe na zenye mafanikio katika soka ..

Kuna wachezaji maarufu kama Wayne Rooney, Ibrahimovic, marcus Rashford, David De Gea na wengine weeeeengi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…