Makapuku Forum

View attachment 494158

Mkuu Bitoz, naomba uniwekee hapa na ile picha ya geneza alivyobebwa Margareth Thather. Ili kuongezea nyama kwenye Swali langu lifuatalo

Ni kwanini mageneza ya hawa Mabrito yanabebwa kwakutanguliza miguu?

Huwa situnzi picha ninazopost isipokuwa zenye umuhimu tu ndo sizidelete...hivyo hiyo picha sina

Kuhusu swali lako wajuzi watakujibu
.....
 
NUKUU YA LEO

In order to succeed, we must first believe that we can

Ili tuweze kufanikiwa, ni lazima kwanza tuamini kuwa tunaweza

Haya maneno yalipata kutamkwa na mwaandishi, mwanamashairi na mwanafalsafa wa kigiriki Bw. Nikos Kazantzakis. Nikos alizaliwa tar 18/02/1883 na kufariki 26/10/1957 akiwa na miaka 74.

Alizaliwa Ottoman Empire ambayo leo hii inafahamika kama Ukigiriki.





Nikos anakumbukwa kwa kazi zake nyingi kama

Zorba the Greek
Last Temptation n.k


Falsafa ya tuamini kwanza tùnaweza ndio ilikuwa presidential campgain slogan ya Rais mstaafu wa marekani Barack obama mwaka 2008 .


Ni maneno yenye uzito ukiyachambua kwa kina!

Motivational kwetu;

Unapoona jambo kama ni gumu kumbuka hii slogan ya Yes we can! Inakupa nguvu, ari na moyo wa kuona jambo gumu linawezekana.

Believe! You can

Transcend.
 
Yes you can, if you believe in yourself!!! Nothing is impossible

Asante kwa kutupa motisha chanya!!
 
asante kwa nukuu ya leo
inanihusu kabisa hii ubarikiwe sana.
 
Nakumbuka sana zile za jamii photo enzi zilee na kina Th Name
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…