Makapuku Forum

1979 - Utawala wa Dikteta Idd Amini Dada wa Uganda unafikia kikomo nchini humo mara baada ya kuondoshwa na majeshi ya Tanzania katika vita ya Uganda.
ilijulikana km vita ya Kagera
Chanzo ni Amin kuivamia Kagera kwa makombora ikiwemo kuharibu mali na miundomini ikiwepo daraja la mto Kagera alikuwa anasapotiwa na swahiba wake Gaddaff
.....
 
Bitoz
Hongera nimekuona kwenye je wajua!!! We ni member wa Jf mwenye likes nyingii kuliko hata mwenye forum.....
Thanks
Kawaida tu ila sizitafuti likes kwa nguvu...kumbuka kabla ya huu uzi ninazo thread zaidi ya 20 mojawapo ni sticky jukwaa la utanashati pia jamii photos ninazo thread km 5 ila "hapa vipi?" ndo imebamba....chit chat pia zipo baadhi nimeedit kwa kuzifuta nilichoandika ili zife

Siku hizi nimeacha kuanzisha thread
...........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…