Ndio maana kuna mchakato wa kumtangaza mtakatifuDon't cry!
Huyu mama alikuwa na uraia wa karibia nchi saba,
Serbia
Albania
Macedonia
India
Yugoslavia
Na nchi zingine za ulaya..
Mama Teresa aliondoka kwao akiwa na miaka 18 baada ya kifo cha baba yake..
Toka alivyondoka nyumbani kwa hakuwa kumuona dada yake wala mama yake mzazi tena..
Mama Teresa aliamini katika kutoa na kusaidia wasio jiweza hasa wagonjwa na yatima..
Mtakumbuka mwaka 1979 alipewa Tuzo ya Nobel ( Nobel peace prize)
Ninukuu maneno ya speech yake siku ya kupewa tuzo..
Around the world, not only in the poor countries, but I found the poverty of the West so much more difficult to remove. When I pick up a person from the street, hungry, I give him a plate of rice, a piece of bread, I have satisfied. I have removed that hunger. But a person that is shut out, that feels unwanted, unloved, terrified, the person that has been thrown out from society—that poverty is so hurtable
Duniani kote, sio kwa nchi maskini tuu, ila kuondoka umaskini wa magharibi ni vigumu, nikimpata mgonjwa mtaani ana njaa ,nampa sahani ya wali, kipande cha mkate na nina ridhika, lakini hali ya kutengwa, kutokukubalika, kutokupendwa, kutishwa, kutengwa na jamii yako... HUU UMASKINI UNAUMA SANA
Hela ambayo alipewa kiasi cha 129,000 Usd, alisema kikasaidie maskini nchini india..
Huyu mama alikuwa na mtu wa pekee sana..
Bora aseno asiingie top four amezoea!!!Chelsea ni njia nyeupe tu hatuna namna awe bingwa tu, Tottenham nae top four inamuhusu moja kwa moja hata man city kazi ipo namba nne zaidi Arsenal, Liverpool and Man United hapo ndio patamu
United ana mechi dhidi ya Chelsea, Arsenal, City na Tottenham moja nyumbani Tatu ugenini ni ngumu sana mechi mbili Etihad na kwa Tottenham
Arsenal ana United, na Tottenham kwake zote ni ngumu
Liverpool alishamaliza wakubwa ila ugonjwa wake wa timu ndogo bado upo
BaelezeeHata ukimpata zawadi anaweza lia pia
[emoji120]Amina mkuu
Upo vzr upande wa kuchambua mpira.
Am sure utakua kocha wa timu za watoto hapo mtaani
Sarcastic
Hamna, ni jina zuri nilihisi lina maanaWerrason watu hatupendi majina mazr[emoji23] [emoji23] [emoji23]
MnoLet it go yuko vzr sana
Kweliìi mkuuMkuu
Hizi nukuu mimi siweki tuu kwa kuwa nilisema nitaweka nukuu..
Nataka hizi nukuu zibadilishe maisha ya members humu..
Yaani, kila siku ujifunze kupitia hizi nukuu..
Ni muhimu sana kama unaweza kuzifanyia kazi at leat kwa 51% if not 100%
Nawapenda makapuku..
Kiushabikiii niko chelsea mkuu shunie shahidiiiiMkuu kweli nyie gombanieni huko na mkiwa mnajiandaa kuja kutuvisha medali blues!!!
Zimebaki game ngapi?Mkuu washachelewa
[emoji109]Hakutaja ni majani ya mboga gani
Labda ni kunde au maharage
Vyema umbane yeye mwenyewe
Cc mkubhi
Kanipa rungu juzi.Unajidai Faiza Foxy eeh???
Chelsea fans hereMkuu kweli nyie gombanieni huko na mkiwa mnajiandaa kuja kutuvisha medali blues!!!
JamaniiiiAsante mamie..karibu mtori
Well said broMkuu
Hizi nukuu mimi siweki tuu kwa kuwa nilisema nitaweka nukuu..
Nataka hizi nukuu zibadilishe maisha ya members humu..
Yaani, kila siku ujifunze kupitia hizi nukuu..
Ni muhimu sana kama unaweza kuzifanyia kazi at leat kwa 51% if not 100%
Nawapenda makapuku..
Kweli bro.Mkuu

7Zimebaki game ngapi?
Kwao saba mkuu wengine hope 8Zimebaki game ngapi?
Mkuu,Mimi kwa EPL ya mda huu m-bet wanipe likizo kwanza.... Kwa maana timu nyingi zinapambana kujiweka mahari pazr...
Kuna zile za big four kwa UEFA
Kuna zile nafasi 5-7 kwa UEROPA
Na zile za kupambana kujiokoa zisipotee kwenye EPL
Hakakika hii ni vita tosha!!!!
Hakika alikuwa wa kipekee, it's so touching, kila mstari ninaosoma i feels something!!Don't cry!