mkewe alienda kila kituo na wakafanya mkutano na waandishi wa habari, mbona police hawakujitokeza kusema wanaye?Waache ujinga wajate mzizi wa fitina kwa kusema alikuwa wapi na kafikaje Polisi ili tujue lipi la kushika
....
Kumbe huna huruma?Roma anifanye mm nifunge hapana aisee nimefunga kwaresma
Hio sweetie na mimi pia natumia.. kwahiyo usinisahauMondray sweeetieeee!!!! [emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351][emoji351]
I miss you!!!
Nimewamisi pia makapuku!!! [emoji6][emoji6][emoji6]
Roma atasemaSio rahisi kusema ukweli, hilo litabaki kuwa siri yao
Kakake mieKumbe huna huruma?
Ukweli utajulikana tu ikiwa Roma yuko haiTatizo Polisi hawajielewi
*Hatuna taarifa za ROMA
*Zen tutahakikosha tunampata kabla ya J2
*Halafu eti kaparikana
Mbona hawasemi alikuwa wapi
Wanazingua
......
Sio kidogoYaani mpaka ataona aibu sasa
Walikuwa waumwa auHospital..
For health check up..
Naomba lile tabasamu lakoHospital..
For health check up..
Watoto wa mbwa wamefungua macho hawadanganyikiNdo waseme sasa, wasione sie ni wajinga kiasi hicho
Hahaha!!! Hiyo special kwa babie Mondie!!!Hio sweetie na mimi pia natumia.. kwahiyo usinisahau
Hili ni sinema la liveRoma na wenzake walikuwa wapii??
Nape anawaumiza kichwa wanatamani wamtekeKumbukeni kuna mkutano wa Nape
Ndio washabadili upepo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.....
WeeeeTeh....teh
Shem hatumtishi ila tunampa tahadhar
Asije akashindwa huduma
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wakimteka Nape watajuta!!!Nape anawaumiza kichwa wanatamani wamteke
Wakwende huko, yaani sijui watuonajeWatoto wa mbwa wamefungua macho hawadanganyiki
Shikamoo braza Mondie.. na mimi nikiwa mkubwa nataka kua kama wewe!!..Hahaha!!! Hiyo special kwa babie Mondie!!!
Hasemi huyo kakaRoma atasema
Anko magu sihusikiTatizo tulilianza sie, kumuweka anko madarakani