Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Amen..... MadamGood morning sir uwe Na siku njema
Amen..... MadamGood morning sir uwe Na siku njema
Kakangu sijaelewa hapo ujue
.......... unatekwa au kupotea/kupotezwa!!!1943 - Wanandoa Otto Hampel na Elise Hampel wananyongwa huko Berlin nchini Ujerumani baada ya kukosoa utawala wa Dikteta Adolf Hitler.
Unanipotea sana kakaAsante kipenzi, nakumiss zaidi
Kafikaje kituoni, wakati walisema hayuko kwenye kituo chochoteYupo ostabei polisi.. taarifa zaidi zitakujia hivi punde ndugu msikilizaji.. stay tune n don touch a dial
We mwenyewe umesema we ni staa!!hahhaha una wazimu kweli me nimeingia jf nimeukuta huu uzi
hayo yako tena sijui niliongea wapi eb tuachane na hiyo mada ya watuWe mwenyewe umesema we ni staa!!
Kitu kinachodedea kwa nyumamkia ndio nn
nimefungaUnachekaa umekulaa kweli
Ndo yaleyale ya Mange kwamba anashikiliwa na Bashite na Sirro zen watajifanya kumpata na kuonekana mashujaaImeripotiwa yuko ostabei
Ooh nimeelewa sasa kumbe ndio mlikua mnamaanishaKitu kinachodedea kwa nyuma
Hahahahayo yako tena sijui niliongea wapi eb tuachane na hiyo mada ya watu
Ee bana ee hapo ndo kuna kitendawili.. ila soon kitafumbuliwaKafikaje kituoni, wakati walisema hayuko kwenye kituo chochote
Amennimefunga
Hicho kitendawili ni kigumu, na tusitegemee jibu maana mtekwaji atakuwa kapata vitisho vya kutosha....Ee bana ee hapo ndo kuna kitendawili.. ila soon kitafumbuliwa
siasani mvurugano mara Ben saanane nae inasemekana yupo msimbazi police anapelekwa centralHahaha
Roma yuko wapi eti
Namkubali sana MangeNdo yaleyale ya Mange kwamba anashikiliwa na Bashite na Sirro zen watajifanya kumpata na kuonekana mashujaa
Kweli Mange mpuuzi lkn samtaimu ana point
......
Heeesiasani mvurugano mara Ben saanane nae inasemekana yupo msimbazi police anapelekwa central
habari za Roma zimeunganishwa mods bwana wanapenda kuunganisha habari