Makapuku Forum

Madame sikupata kujua kabsa...sasa leo nimefunguliwa!!
Mwezi wa tatu tu nilimkuta mtoto wa miez sita hospitali,anateseka sana sana mama ni binti mdogo,mume kakimbia so sad[emoji17] [emoji17] wamama tuwaombee sana maana kukimbiwa wakati wa changamoto kama hz kupo hasa ukipata watoto wenye mapungufu ya viungo..Au ubongo Mungu atusaidie sana kuwa na huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…