Makapuku Forum

I see!
 
JE WAJUA?
Mmoja kati ya watoto 5000 anazaliwa bila Anus.
Ni kweli nimewaona wengi na wanateseka sana maana hufanyiwa upasuaji na kupata haja kupitia tumbo,hata walezi wanateseka,tuwe tunapata muda kuwatembelea mahospitalini na kuwapa mahitaji sabuni,pampers,chakula ..good thing huwa wanarecover na kupata haja kawaida.Mungu yu mwema.
 
Madame sikupata kujua kabsa...sasa leo nimefunguliwa!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…