Nakumbuka akati nasoma divinity kuna sehemu tulisoma kua wanaisraeli hawakutumia njia ya moja kwa moja kwa sababu kulikua na maadui huko kwahiyo iliwabidi wazunguke sana kukwepa maadui
hali ya hewa mubashara kabisa....kuhusiana na kilimo cha watoto......kwenye familia ..... πππ...kama blaza lee shamba lako laonekana lipo tayari kabsaa kupandwa....ππ....