amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,616
- 12,398
Poa sana mdadaHaya sasa kumekucha..
Watu na shift zetu..
Mambo zenu kapukuzzz
Siku njema kwako
Poa sana mdadaHaya sasa kumekucha..
Watu na shift zetu..
Mambo zenu kapukuzzz
Asante maePoa sana mdada
Siku njema kwako
Utaelewaje wakati haikuhusu!Hii mada mbona siielewi elewi.....?
Mornie shemGood morning to you Makapuku
Utaelewa siku ukiacha mbwembweHii mada mbona siielewi elewi.....?
Hapana kipenz....Leo hujaamkia kwenye nyumba za watu bora hata
Unaelewa sema unavunga tuuuu...Hii mada mbona siielewi elewi.....?
Nyani nadhani wewe ni mkongwe ndio maana huelewiHii mada mbona siielewi elewi.....?
Hii mada mbona siielewi elewi.....?
Haaaa ......![]()
............
Has as as😱😱😱😱😱😱😱
Kama hauielewi hii mambo basi wewe ni mwanaJF hewa?!
Habari za asubuhi Wapendwa katika Bwana!
Za wewe ShemMornie shem
Swalama kabisa mkuu,vipi hali!Habari za asubuhi Wapendwa katika Bwana!