Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Kwenda anataka kubaki anataka piaHili nalo neno...
Baba mchungaji katika ubora wake
Kwenda anataka kubaki anataka piaHili nalo neno...
Naona umekumbuka kutolitumia lile neno, laiti ungemwambia alale salama MANDELAA KIWELU angerudi kupinga hiyo kauliAhsante sana mkuu.
Nikutakie pumziko jema.
Sasa rasmi jimena a.k.a akili kubwa simamia tamthilia yetuKwenda anataka kubaki anataka pia
Baba mchungaji katika ubora wake
Sasa kwanini ulioa mapema?Mchungaji kijana
Hivi huyu ni padre ama mchungaji? mana mi najua mapadre hawatakiwi kuwa na wenzaKwenda anataka kubaki anataka pia
Baba mchungaji katika ubora wake
Hahahaha kumbe mwezi unaabudiwa pia? Ndo nimejua leoUnaabudu mwezi eee
Haeleweki....... Ni padre na mchungaji piaHivi huyu ni padre ama mchungaji? mana mi najua mapadre hawatakiwi kuwa na wenza
Unaogopa mikwara ya mchungaji?Daaah....ngoja niwe mpole
Hahaha bila shaka itakua pia.... Mtume ama Nabii jambiloHaeleweki....... Ni padre na mchungaji pia
Bila kusahau yeye pia ndio baba askofu
Unaogopa mikwara ya mchungaji?
Hapo kweli lazima ukaeMikwara ya mchungaji na swaga za classmate😱😱😱

Naona umekumbuka kutolitumia lile neno, laiti ungemwambia alale salama MANDELAA KIWELU angerudi kupinga hiyo kauli
Vyoote, kifupi huduma zote za kiroho yeye ndio zinamhusu sanaaHahaha bila shaka itakua pia.... Mtume ama Nabii jambilo
kidding.
Yeye Kiwelu hataki aambiwe analala, ye anataka useme anapumzika tu, kwa madai kuwa kulala ni kufaSikujua kabisa!
Kumbe kuna maneno hayatumiki hapa?
Yeye Kiwelu hataki aambiwe analala, ye anataka useme anapumzika tu, kwa madai kuwa kulala ni kufa
Hukukosea kabisaHivyo?
Basi ni kheri kama sikukosea!