Nzuri kabisaaaHabari za asubuhi Wapendwa katika Bwana!
Salama tu mpendwa.habr wapendwa ...
Asante Mkuu Sizz wa kitaa.Salama....karibu ukapuku street
Fresh niajerhabr wapendwa ...
Hali yangu mbaya Mkuu.Swalama kabisa mkuu,vipi hali!
Safi kamanda, habari ya Arachuga!habr wapendwa ...
Naona asubuhi tulivu Kapuku street.
Shida nini mkuu.Hali yangu mbaya Mkuu.
Nipo vyema, pande hizo niaje?Salama tu mpendwa.
Hope uko poa
Ni njema kabisa mkuu, habari za wewe na wanaokuzunguka hapo?Safi kamanda, habari ya Arachuga!
Mpaka sasa kimya, hajaonekana bado.Shida nini mkuu.
Segerea mwisho
powa poa mkuu..Fresh niajer
Ni nzuri kaka, tupo tumeshaanza kuhangaika kama kawaida.habari za wewe na wanaokuzunguka hapo?
![]()
![]()
New kit
..............