Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,504
- 57,045
Aisee,pole sanaMpaka sasa kimya, hajaonekana bado.
Inabidi ufanye mpango wa kuziba pengo.
Aisee,pole sanaMpaka sasa kimya, hajaonekana bado.
powa poa,.. pesa kwanza mengine yatafuataNi nzuri kaka, tupo tumeshaanza kuhangaika kama kawaida.
Mie sijambo, ila mwandani wangu simuoni. Sijui kama nimeachwa.Niko poa kabisa. Sijui wewe?
Labda bado yupo kwa mchepuko wakeMie sijambo, ila mwandani wangu simuoni. Sijui kama nimeachwa.
Ni kweli kabisa kaka, hapa napiga kazi huku nikipata kiburudisho cha jf Makapuku forum siku inakuwa iko nzuri sana.powa poa,.. pesa kwanza mengine yatafuata
Huo ndo ushauri wako etii?Aisee,pole sana
Inabidi ufanye mpango wa kuziba pengo.
Huo ndo ushauri wako etii?
huu ndiyo ushauri wangu wa mwisho,utakuja kufa kwa stresshiyo nyeusi nimeipenda sema na hili joto la dar hapana kwa kweli, haitovalika hiyo![]()
![]()
![]()
The Blauz
..............
Asante Mkuu, ngoja nitangaze ndoa nyingine.![]()
![]()
![]()
huu ndiyo ushauri wangu wa mwisho,utakuja kufa kwa stress
Niaje P?hiyo nyeusi nimeipenda sema na hili joto la dar hapana kwa kweli, haitovalika hiyo
Salama shemZa wewe Shem
Fanya mpangoAsante Mkuu, ngoja nitangaze ndoa nyingine.
Kijana. VipFanya mpango