Makapuku Forum

Samahani waungwana,
nina swali dogo nitaomba ufafanuzi wenu.
Ukiiangalia picha inayomuonyesha Rais mstaafu akiwa Bungeni jana,
1) Gazeti la Mwananchi na Tanzania daima inaonekana aliyefaa suti ya bluu yupo upande wa kulia wa Jakaya Kikwete,

2) Gazeti la Mtanzania na Uhuru inamuonyesha mtu huyo huyo yupo upande wa kushoto,

Swali, je imekuwaje hivyo? Wakati wote wamekaa sehemu moja? Au hao wasaidizi wake walibadilishana mkao?
Wataalamu picha na Kamera nisaidieni, na wengine pia kama una chochote usisite kuchangia.
 
Itakuwa poaa na mm nikipitapita nachombeza mapicha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…