Makapuku Forum

Asante mkuu mwekahazina kwa kupitia magazeti na nakuu bila kusahau historia

Tunakutegemea kwa segment yakoo
 
Asante Lee ubarikiwe

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja mkuu..

Sasa hivi Lazima jf waelewe Makupuku...


Hii tunaita

The Revival of Makapuku forum
 
Kaandika vitabu vingi vya kusisimua
.....
 
Asante mkuu mwekahazina kwa kupitia magazeti na nakuu bila kusahau historia

Tunakutegemea kwa segment yakoo
[emoji120] [emoji120]


Tutakiane mema katika kile tunachokwenda kukifanya na vile vinavyoendelea kufanyika lengo ni kupashana habari kwa namna moja ama nyingine na kuwa bora kwa muunganiko wetu.
 
Ratiba ya mechi za leo tarehe 5/4/2017 ni kama ifuatavyo

EPL


Bundesliga


Copa Italia


LaLiga


Kenya Premium league


League 1


Uganda Premium league
Mwekahazina umetishaa hayo ndo mambo

Epl Leo ni Leo namuombea mabaya spurs make city Leo siamini kikosi changu Leo ila point muhimu Leo

Napoli na juventus bonge la mechi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…