Ni jambo jemaMimi naomba kwanzia leo nichukue jukumu la "NUKUU YA LEO "
Itakuwa Segment ya kila siku ( siku za jumatatu mpaka jumamosi) asubuhi, kama nisipoweka asubuhi nitaweka jioni.
Naomba niitende haki hii..nitakuwa naweka kwa nukuu kwa lugha ya kiingereza na kiswahili..then nitadadavua kidogoo juu ya Nukuu..
Siku ambayo nitatingwa mtaniwia radhi wakuu..
All the best wakuu..
Sawa GwajimaSikuelewa kwanini leo Kapuku's wameamka na upako sana kumbe ni siku ya kipekee
Kumbe ni Jumanne tarehe 4 mwezi wa 4
Shemu hiki ndio kiapo changu mods pamoja na makapuku watakuwa mashaidi
Mimi soudy brown au mzizi mkavu nitakuwa mwanakapuku haijarishi sina manzi au rahaaa na shunie,sakayo,ukhuty wote ni mashemeji zangu nitawaeshimu sana kina mondray,lee empire,transcend
Nimeapa nikiwa na akil timamu kabisa na kila asubuhi,mchana na hata jioni lazima nipite humu nisalimie
My take:shemela unajua ubusy ila nipo
Conclusion..
.....kapuku live long
Jamani kama ipo kifunny unarususiwa kucheka ata kimya kimya
Kapuku oyeeeee.
Leo kila anafunguka...wote ni washikaji hivyo tunaongea kwa upendo tuKuna kiyu kaongea bitozi kua kupost labda magazeti halaf watu hawampi sapoti hiyo inamvunja moyo mletaji. Nisiwe mnafiki mm ni mmoja wapo niliovunjika moyo ila kiasi chake lee anajitahidi kunipa spirit ya kuendelea kwa kuweka picha.
Kuna kiyu kaongea bitozi kua kupost labda magazeti halaf watu hawampi sapoti hiyo inamvunja moyo mletaji. Nisiwe mnafiki mm ni mmoja wapo niliovunjika moyo ila kiasi chake lee anajitahidi kunipa spirit ya kuendelea kwa kuweka picha.
Hii imekaa poa sana, way to go jooooMimi naomba kwanzia leo nichukue jukumu la "NUKUU YA LEO "
Itakuwa Segment ya kila siku ( siku za jumatatu mpaka jumamosi) asubuhi, kama nisipoweka asubuhi nitaweka jioni.
Naomba niitende haki hii..nitakuwa naweka kwa nukuu kwa lugha ya kiingereza na kiswahili..then nitadadavua kidogoo juu ya Nukuu..
Siku ambayo nitatingwa mtaniwia radhi wakuu..
All the best wakuu..
Busara zako mkuu zinahitajikaNgoja niongee kidogo kwenye changamoto maana trh 9 bado
Changamoto kubwa ni "kujisahau" kwa baadhi ya members wa mwanzo pamoja na wale wa after 6 months na kuendelea.......thread ilianza km movement ya kupinga manyanyaso JF kutoka kwa wakomgwe zen ikaja kuwa thread inayohusu mambo mbalimbali(vipindi mbalimbali) mfano,
Top 10
Je Wajua
Kapuku Songs
Hadithi
Old is gold
Nukuu ya leo
Update za mpira
Magazeti asubuhi
Leo ktk historia
Fix za Bitoz n.k
Hapo uzi ukawa moto na unafuatiliwa hadi na wakongwe maana nilikuwa na vitu kibao vya kijanja....kitendo cha baadhi ya members kujisahau pamoja na kujiona wapo juu na kuanza mizinguo kikafanya vipindi vipungue(now vipo viwili tu vya kueleweka ambavyo ni magazeti tu na historia) hivyo kufanya thread ipoteze mvuto/kufuatiliwa na kisha kutawaliwa na "stori zisizoisha asubuhi hadi usiku".....
Kiukweli bila kupepesa macho thread imepoteza mvuto
...............................................
Mkuu upo sahihi kila kitu kina umuhimu na kinaruhusiwa kitu tulichoona kina kasoro kubwa ni kutowapa respect wanaoleta vipindi maana wamejipinda kusoma mitandaoni + kuandika ili kuelimisha/kuleta habari n.k zen hawapewi ushirikiano wowote sasa inasababisha waache kuleta vitu vizuriBitoz na wadau wote wa Makapuku, heshima kwenu.
Kwanza, umeongea jambo zuri na la kufikirisha, yale mambo uliyotaja kuwepo kipindi hicho na kwa sasa yamekosekana yaweza kuwa sababu ya kuwepo kwa majukwaa mengine mahsusi kwayo, na ndiyo maana hakuna mdau anayejaribu kuweka kapuku songs japo za kubabia, lakini kwa mwongozo uliotoa basi hii segment inaweza kuwepo humu baada ya kuwa tumepata magazeti toka kwa lee empire na Shunie na historia ikiongozwa na Mussolin5 na bila kusahau kazi nzuri unayofanya Bitoz ya kunogesha historia kwa mapicha.
Kitu kinachoifanya Makapuku kuwa ya kipekee ni dhana nzima ya "acknowledgement" wataalamu wa maswala ya Utawala na Mahusiano wanasema ni muhimu kutambua mchango wa kila mmoja hata kama hukipendi na hii inatoa fursa ya kuelewana na kuelekezana, majukwaa mengine yamekosa hili isipokuwa hapa. kwingine ni kila mmoja kujidai anajua, anakaa Dar na ana gari, na kujiona bila 'yeye' jf au jukwaa fulani halip. Nimekuwa huku kitambo, nbajua naongea nini.
Kapuku forum ni 'da bomb'- 'Excellent, the best'
Thread kukosa mvuto, hii inaweza kuwa kweli au si kweli kutokana na nani anaitoa hoja hii, kwa mgeni huku anaona kapuku ndiyo forum iliyochangamka sana (bila kujali kinachochgangiwa na wadau-iwe ni story zisiszoisha, BS, na blah blah nyingi).
Well, bado kuna muda wa kuboresha kwa hoja chokonozi uliyoleta.
Heshima kwako na wadau wote. Usiku mwema.
Mondray mida ya swala usijesema nimekesha humu tena
Ushauri wako tufanye nini?Binafsi zamani nilikuwa "najitahidi kuongea" ila baadaye nikaona siyo vizuri kuwasema watu wazima maana inaonekana ni km kujifanya "mwenye Uzi" hivyo sipendi kuongea km mtu aliye juu
Hivyo ni jukumu la wote kuamua na sio mimi
....
Ww kila jukwaa upoSame to me.
Ukifuatilia mtiririko wa hii mada utakuwa umeelewa MAONI YA MEMBERSUshauri wako tufanye nini?
Bitoz na wadau wote wa Makapuku, heshima kwenu.
Kwanza, umeongea jambo zuri na la kufikirisha, yale mambo uliyotaja kuwepo kipindi hicho na kwa sasa yamekosekana yaweza kuwa sababu ya kuwepo kwa majukwaa mengine mahsusi kwayo, na ndiyo maana hakuna mdau anayejaribu kuweka kapuku songs japo za kubabia, lakini kwa mwongozo uliotoa basi hii segment inaweza kuwepo humu baada ya kuwa tumepata magazeti toka kwa lee empire na Shunie na historia ikiongozwa na Mussolin5 na bila kusahau kazi nzuri unayofanya Bitoz ya kunogesha historia kwa mapicha.
Kitu kinachoifanya Makapuku kuwa ya kipekee ni dhana nzima ya "acknowledgement" wataalamu wa maswala ya Utawala na Mahusiano wanasema ni muhimu kutambua mchango wa kila mmoja hata kama hukipendi na hii inatoa fursa ya kuelewana na kuelekezana, majukwaa mengine yamekosa hili isipokuwa hapa. kwingine ni kila mmoja kujidai anajua, anakaa Dar na ana gari, na kujiona bila 'yeye' jf au jukwaa fulani halip. Nimekuwa huku kitambo, nbajua naongea nini.
Kapuku forum ni 'da bomb'- 'Excellent, the best'
Thread kukosa mvuto, hii inaweza kuwa kweli au si kweli kutokana na nani anaitoa hoja hii, kwa mgeni huku anaona kapuku ndiyo forum iliyochangamka sana (bila kujali kinachochgangiwa na wadau-iwe ni story zisiszoisha, BS, na blah blah nyingi).
Well, bado kuna muda wa kuboresha kwa hoja chokonozi uliyoleta.
Heshima kwako na wadau wote. Usiku mwema.
Mondray mida ya swala usijesema nimekesha humu tena
huko mmu ongea nje ya mada ule banYaaah mkuu iyo ni kweli watu kama wakina shunie uwa nakutananao mmu siwapi ata mambo huku free sana tunasalimiana vzr tu kule mmu ukisema mambo umefeli sana wanajua unanyapia nyapia.
Pole kaka!Kuna kiyu kaongea bitozi kua kupost labda magazeti halaf watu hawampi sapoti hiyo inamvunja moyo mletaji. Nisiwe mnafiki mm ni mmoja wapo niliovunjika moyo ila kiasi chake lee anajitahidi kunipa spirit ya kuendelea kwa kuweka picha.
Ww utakuwa mchawi unasalimia saa 4 usikuHabari zenu wakuu?
SalamaHabari zenu