Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
JamaniiiiAwwwwh!
Natamani muda urudi nyuma !
Turudi utotoni ! Tuanze kukua tena tena toka utotoni..
I love you..
Nakupenda pia, ila hatujachelewa bado!!
Tulitunze tu penzi letu
JamaniiiiAwwwwh!
Natamani muda urudi nyuma !
Turudi utotoni ! Tuanze kukua tena tena toka utotoni..
I love you..
Founder makapukuz jambo mkuuu
Watu washalala mkuu..Wakuu mmepoa humu
Safi. Kwema lakini?Founder makapukuz jambo mkuuu
Fresh mkubwaSafi. Kwema lakini?
Mbona mapema kiasi hikiWatu washalala mkuu..
Mke wanguu...Love you more hubby!!!
Kuna muda nawaza kwa nini sikukuona mapema!!!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()


Leo unakesha au?Fresh mkubwa
Mwenyewe hapa nimechokaa! Afu kesho blue monday mkuu..Mbona mapema kiasi hiki
Hapana mkubwa takesha pekeyanguLeo unakesha au?
Kesho tukutaneGood night all kapuku![]()
![]()
Ngoja nilale aiseeHapana mkubwa takesha pekeyangu
Kweli weekend ishaishaMwenyewe hapa nimechokaa! Afu kesho blue monday mkuu..
Nataka nilale tuu
Pamojaa mkuuUsiku mwema humu