Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,974
hataki ata kupaskiaJibu zuri.
Mpeleke hapujui eti.
hataki ata kupaskiaJibu zuri.
Mpeleke hapujui eti.
Tena ninazo za kutosha, waarusha wamenipa shambaNdizi zangu ukifika arusha mtafute Quigley
hahhaah kwahiyo siku nikijiskia kukupa shikamoo itikia kwa roho mojaMARAHABA KIPENZI CHANGU
Na wewe nikumbushee??hahahhahah lee ww umenikumbusha mambo ya mda
atakuambia anashinda kanisanUpo wapiii sasa mzee mwenzangu

kumbe ulishawahi onjagaBora zake.
Mm mama alinipiga Ban.
Akili yangu inawaza kazi tu, nikiwa likizo ndo nakula ile kitu mjini kati kwa sanaUpo wapiii sasa mzee mwenzangu
Njoo kwanzaaNgoja niwahi shughuli zangu maana muda ni mali
halaf kuna kipindi uliniambia utanitumia mara ukasepa kimojaTena ninazo za kutosha, waarusha wamenipa shamba
hahhaah kwahiyo siku nikijiskia kukupa shikamoo itikia kwa roho moja

Inatoshaa shemeji husiyejulikanaa
Mm sipendi kabisa pombe.kumbe ulishawahi onjaga
SawasawaaaAkili yangu inawaza kazi tu, nikiwa likizo ndo nakula ile kitu mjini kati kwa sana
HahahaNdizi zangu ukifika arusha mtafute Quigley
KakaSolumeti
Wewe na ray mawotaa ni ndugu ??Mm sipendi kabisa pombe.
Bimkubwa alishaniambia kua siku nikilewa kitakachonipata niatajijua mwenyewe.
Sasa siku moja mwaka jana mwezi wa 10 nikahonjaEmpire 2 weee kilichonipata sitasahau.
Mkuu laifu la family yetu ni ya ajabu kwa watz, kaka dada na wazazi kuhug na kukiss kwetu ni jadiInatoshaa shemeji husiyejulikanaa