Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,961
marahaba dogo umeamkajeNa mie ninavyo jua kusalimia sasa.
Shkamo Shunie

marahaba dogo umeamkajeNa mie ninavyo jua kusalimia sasa.
Shkamo Shunie

hahahahMwenyewe Nimejikuta nina simu mkoni halafu iko online
sijakupa ww hiyo shikamoomarhabaaa mtoto mzuri hujambo eh
Sita.Ulikunjwa soda ngapi?
umefurahii soudy
muulize leeUnauza nini ?
Nipe yakwangu na mmsijakupa ww hiyo shikamoo
Shemu we acha tu lee mwenyewe alidai atakesha nawew ukampepea adi akalala



hahahaahaMate
hana miaka hiyoUmeolewa na kikongwe
yaan wwEmotional abuse?![]()
![]()
usiniambie hautaki shikamoo na uzee huoMara nyingi dadangu
Nitakachokufanya ww ngoja tuLabda ulijidanganyaa wewe
hapana aisee ww ni mdogo sana kwanguNipe yakwangu na mm
Hilo jibu limetokaa moyoni kabisa nakuonaaaamm huyo kwahyo nikienda kanisani nije kuaga kapuku naenda kanisani
situmi hela hovyo mm nikituma ujue kuna sbbu iliyojitosheleza![]()
![]()
![]()
![]()
unatuma hautumi!?
Morning mdogo wangu.Kijana andika vizuri
kumbe ndio ulichokalili mkubhiNaona mda wote uko hapa dat why!!
Sababu ya kuhamisha mlima ndo unataka!!??situmi hela hovyo mm nikituma ujue kuna sbbu iliyojitosheleza
fresh tu lete habariNko poa niambie![]()
![]()