Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,294
Asante nakwako pia thanks kw magazetTuwe na jumapili njema wakuu
Asante nakwako pia thanks kw magazetTuwe na jumapili njema wakuu
Matehahahhhh zipo aina mbili ujue umiza kichwa
Miss yaah mkuluGoodmorning family
BonjourGoodmorning family
Shemu we acha tu lee mwenyewe alidai atakesha nawew ukampepea adi akalalanilijikuta nimesinzia tu kwahiyo ulibaki peke yako![]()
Unauza nini ?bado nipo labour mukongo![]()
Mie mzimaMarhaba mtoto mzuri
Mzima wewe ???
AmenLabda ulijidanganyaa wewe
marhabaaa mtoto mzuri hujambo ehshikamoo
Tu Nakupenda piaWapendwa naamini mmeamka salama Mungu ni mwaminifu sana kila siku anatupa wanae yaliyo mema,nawatakia jumapili njema Mungu aonekane kwa kila mmoja wetu,wanaoenda ibada ziwe njema,wagonjwa wapone,wenyecgangamoto zozote leo zipate ufumbuzi....nawapenda sanasana Mbarikiwe sana.
Ubarikiwe mama mchungajiTu Nakupenda pia
Mwenyewe Nimejikuta nina simu mkoni halafu iko onlinenilijikuta nimesinzia tu kwahiyo ulibaki peke yako![]()
Na mie ninavyo jua kusalimia sasa.anavyopenda shikamoo sasa
Nikiwa na wewe sina hofu my dear!!!Am doing alright sweetie..
Wajionaje na hali?
Hutaki auMara nyingi dadangu
Sijambo mume wangu, roho yangu mboni yangu, Nyongo mkalia ini wangu na baba wa watoto wangu.Habari za asubuhi familia
Habari za asubuhi jf
Habari za asubuhi kapuku
Habari za asubuhi mabibi na mabwana
Habari za asubuhi mke wangu Sakayo.?
