Makapuku Forum

Makapuku Forum

Wapendwa naamini mmeamka salama Mungu ni mwaminifu sana kila siku anatupa wanae yaliyo mema,nawatakia jumapili njema Mungu aonekane kwa kila mmoja wetu,wanaoenda ibada ziwe njema,wagonjwa wapone,wenyecgangamoto zozote leo zipate ufumbuzi....nawapenda sanasana Mbarikiwe sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom