Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
Just give me CointreauPilipili haimtoshi shem
Just give me CointreauPilipili haimtoshi shem
Kijana acha mambo ya watu wew ndoa imekushinda huku huweziHilo kanisa utajengea bar![]()
![]()
.
Hii kitu imenikumbusha jinsi barua yangu ilivyodakwa na teacher.
Ndio nnJust give me Cointreau
Hii kitu imenikumbusha jinsi barua yangu ilivyodakwa na teacher.

Shem langu I love you
Habari ya usiku huu kapukuz??
Thanks shemShem langu I love you
Huna lolote, siwezi kukupa sadaka yangu ukanunue Serengeti,hapo utanisamehe.Kijana acha mambo ya watu wew ndoa imekushinda huku huwezi
Salama kabisa mkuuupo salama?
Serikali ikiuza hiyo mbuga ya serengeti ntanunua lakini sio kinywaji kilichooza nani anuke mdomo, dawa yako ndogo ni kumchukua mkeo tuHuna lolote, siwezi kukupa sadaka yangu ukanunue Serengeti,hapo utanisamehe.
Atakaelipa fadhila ni nani? Kumbuka sijamkubaliTumwambie mahari 20m
Mkuu uko poa?upo salama?
LiqueurNdio nn
Mke wangu hachukuliki labda uombe usaidizi kwa mshana jrSerikali ikiuza hiyo mbuga ya serengeti ntanunua lakini sio kinywaji kilichooza nani anuke mdomo, dawa yako ndogo ni kumchukua mkeo tu
kuzunguka kote kule na mbwembwe za maombi kumbe lengo lako lilikuwa kumwambia hilo?Shem langu I love you