Shem nawe ci wanipenda eeThanks shem
We mwanamke una roho Ngumu,Khaaa.Atakaelipa fadhila ni nani? Kumbuka sijamkubali
Mbona mkeo hutuma m pesa kila cku?Huna lolote, siwezi kukupa sadaka yangu ukanunue Serengeti,hapo utanisamehe.
Hahhaa, sijacheki hyo game ila azam wamejitahid kiasi chao mana naskia kina kipre na kapombe hawajacheza.... Ngoja tusubiri hao 'wakimataifa' wengineAzam 0 - 2 Mwarabu .. wakimataifa
Umechanganya mafaili mkuu,mbona mkeo ananitumia PM za kunichokoza sisemi.Mbona mkeo hutuma m pesa kila cku?
Mkuu nani kakutuma bhana hv umeona totoz wanakuja tu kwangu kutaka maombi ndo wachukia hiv!kuzunguka kote kule na mbwembwe za maombi kumbe lengo lako lilikuwa kumwambia hilo?
Ama kweli kila Nabii na kitabu chake ..
Unaonaje nawe utumie mbinu zako uache wivu!kuzunguka kote kule na mbwembwe za maombi kumbe lengo lako lilikuwa kumwambia hilo?
Ama kweli kila Nabii na kitabu chake ..
Nilisha mwacha chukua tuUmechanganya mafaili mkuu,mbona mkeo ananitumia PM za kunichokoza sisemi.
Nipo sawa , natumai hata upande wako pia!Mkuu uko poa?
Waarabu sio watu wazuri asee![]()
Jambajamba OUT
Full time
..............
Upendo wa makapuku udumu mkuuMkuu nani kakutuma bhana hv umeona totoz wanakuja tu kwangu kutaka maombi ndo wachukia hiv!
kuzunguka kote kule na mbwembwe za maombi kumbe lengo lako lilikuwa kumwambia hilo?
Ama kweli kila Nabii na kitabu chake ..

Mimi nampeleka wapi huyo mzee kikongwe.Nilisha mwacha chukua tu
Aisee,wamebakia hawa yeboyebo.![]()
Jambajamba OUT
Full time
..............
Sawa mkuu punguza ugomvi bhanaNipo sawa , natumai hata upande wako pia!
Mmejianda vipi na kipigo cha Nacional Al Ahly .?![]()
Jambajamba OUT
Full time
..............
Hivi kumbe na wako ni kibudu!Mimi nampeleka wapi huyo mzee kikongwe.![]()
![]()
Hizo ndiyo type zako mzee wa kula vibudu.