Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,488
Anasikia saaanaShunie msikiee dadako
Anasikia saaanaShunie msikiee dadako
mshale dada napenda ndizi mm ole wako unidanganyeNdizi gani
Amekupigiaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]mm lkn tuliyamaliza kwenye simu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eb hukoUlivyokuwa labor si ulizima simu
Hahahahahahah kweli haujaona pale tunasalimiana akatuquote mnaonaje mkaenda pm [emoji23][emoji23]
Mkuu umerudi kudandia mademu wa hapa Makapuku? Hapa ngoma nzito kwa sababu inavyoonekana kila aliyeko hapa tayari keshagandwa na njemba tena njemba zenyewe zina wivu wa ajabu nyegere cha mtoto. Endelea kujaribu bahati yako mkuu.Njoo kwangu jamani
Nakupenda pia baby mwaah mwaaah mwaaaah ukitoka hapo umejaa mate [emoji23]Nakupendaa shunie
Hahahanimekua bubu ghafla [emoji134]
Khanga unayovaa siku za kawaida ni tofauti na ila ya kuvaa labour..manake hiyo ya labour huwa kama inawasha yaaani unaweza ukaivua tuu ukaificha [emoji23][emoji23][emoji23]hahhahah shemela hivi unanionaje mm mbona ndio vazi langu hilo
ila kweli umeteseka simu zote sipatikan nahisi uliamini ulivyoona sipatikanikSio kwa kunichosha kule
hahahhah alipigaAmekupigiaaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio kwa kunichosha kule
Nimeamua kukaa mjini mpaka kesho, ili tuu nikupate hewanimbona badae alinipigia simu nikaongea nae
Sanaaa hapafai wanaringa na thread zao [emoji23][emoji23] wanaona utajiriHahaha
Akajambe mbele, yaani saivi mmu pamekuwa pa hovyo
Asante laazizi wa miePoleeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu umerudi kudandia mademu wa hapa Makapuku? Hapa ngoma nzito kwa sababu inavyoonekana kila aliyeko hapa tayari keshagandwa na njemba tena njemba zenyewe wivu wa ajabu nyegere cha mtoto. Endelea kujaribu bahati yako mkuu.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Pole mdogo wangu
[emoji182] [emoji182] [emoji182] [emoji173]Nakupenda pia mke wangu
hahahahhahKhanga unayovaa siku za kawaida ni tofauti na ila ya kuvaa labour..manake hiyo ya labour huwa kama inawasha yaaani unaweza ukaivua tuu ukaificha [emoji23][emoji23][emoji23]
ila umepata dhambi ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]