Makapuku Forum

Ngumu kumeza hii
 
yaan we na Numbisa mngeelewana [emoji23][emoji23] kwa mapicha
Numbisa ndiyo nani? Mapicha haya ni sawa na emoji tu na yanasaidia sana. Hapo juu umenisonya/umenitukana mfyuuuu! Sasa ulitaka mi nisemeje jamani? Ulitaka pia nikutukane? Mimi kweli nimsonye/nimtukane Shunie? Hell no! Ndo maana nimeishia kucheka tu. Avatar ya kawaida ya [emoji23][emoji23][emoji23] ni overused na wakati mwingine ni vizuri kuleta vionjo vingine. Vumilia!
 
Numbisa nae hivyohivyo anamjibu mtu kwa picha tu yaan nilivyoona hivyo nimemkumbuka yy yupo humu jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…