Makapuku Forum

HAHAAAAAA STERLING NEVER DIE
UMEJITAHIDI NA POLE KWA MCHOKO WA KUKUSANYA.
 
Nope
Amemuoa mdogo wangu ujue
Shemu hakika T ni mwanaume wa pekee nimemchallenge naona kweli anakufaa sana really anakupenda najua na wewe unampenda ila kila mara huwa nakwambia kapuku tuna utani mwingi


Nisamehe mm nimekosea sana ila sikujua kama itakuwa hivi kiukweli ulikuwa utani wetu wa kawaida na mm huwa ananitania hivo

Plz and plz kwa heshima yangu kwako tusamehe rudisha moyo mama

Mdogo wako kachukia hajapenda utani wangu

Na jana tulifanya kukimbiza Uzi wetu kulikuwa kumepoa sana


He need and love u

Plz sakayo
 
SIO MARA YAKO YA KWANZA
 
Sijui kwanini ikifika furahiday hii smartphone kama ina mashetwain yaani inajiandikia inayotaka. Bora niifufue nokia 3310 yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…