Makapuku Forum


Kuna mjanja alishawahi kuuuza km chuma chakavu ni kupiga pesa za mabwege
.....
 
1993 - Brandon Lee anafariki Dunia.

Ni wakati akiigiza filamu yake ya The Crow ambapo alipigwa risasi halisi iliyokuwa imewekwa kwenye bunduki ya kuektia.

Ni mtoto wa staa wa zamani wa filamu za mapigano Bruce Lee.

Inasemekana kifo chake ni hujuma kutokana na kwamba, alienda Hong Kong kuchunguza kifo cha baba yake, hivyo alivyorudi Marekani akasema amalizie kwanza Movie yake kisha ataje kilichomuua baba yake, matokeo yake akafa na siri yake.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…