Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
OhoooJitoeni kwanza mapepo mliyonayo halafu ndiyo mje kutuombea sisi.
OhoooJitoeni kwanza mapepo mliyonayo halafu ndiyo mje kutuombea sisi.
Mi nasikia harufu ya kuachwa kabisa hapa.Poa usijali mkuu,akiingia tu utasikia harufu ya ubani.
Just relax baby. Wewe niamini mimiMpe tu dawa apone huo uchiz
Chukua huyu ntoto mmewe ana mdomo sanNa wewe ndiwe uwezae kunitumbua![]()
Nakuamin hubbyJust relax baby. Wewe niamini mimi
Pole sana mkuu.Mi nasikia harufu ya kuachwa kabisa hapa.
huna jeuri hiyo, ninapeta ardhini hadi angani, kuzimu hadi peponi ..Hahaha unataka shida kijana
Haya majaribu mpenzi wangu yaitaisha soon.Nakuamin hubby
Yes babe yataisha soonHaya majaribu mpenzi wangu yaitaisha soon.
Ngoja nikuvumilie tu kwa vile tu hapa kuna watu wengiMbona kama umepokea ombi langu kwa shingo upande my sweetheart.
Hii ndoa imeandamwa na misukosuko sana.Haya majaribu mpenzi wangu yaitaisha soon.
Kwangu salama salimini, hofu kwako!Siku yako imeendaje leo?
Yes babe yataisha soon

Ooh niliwamiss piaGood evening Valentinatulikumisi sana.

Oooh my sisy umekuja, karibuGood evening kapukuz!
Dawa gn hamtaki maombi!Nakuja baby. Ila Fanya kama humuoni vile Huyo MTU
Pia dawa yake ipo soon atalia
Aisee