Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Tunawaombea na tumefunuliwa kuwa mna imani haba ndio maana mambo yenu hayaendiJitoeni kwanza mapepo mliyonayo halafu ndiyo mje kutuombea sisi.
Tunawaombea na tumefunuliwa kuwa mna imani haba ndio maana mambo yenu hayaendiJitoeni kwanza mapepo mliyonayo halafu ndiyo mje kutuombea sisi.
Doctor lizziebettie please nitumbue[emoji7][emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Th Name naomba umshughulikie huyu bae!Doctor lizziebettie please nitumbue[emoji7]
Mkuu nakuruhusu chukua totoz hiv vijana hawana pesa za kuwatunzaWoyooooooo
Nakuhakikishia utalia ck zote umetukana nguvu ya MunguMkuu nakuomba usirudie kuombea ndoa yangu, tena nimegundua wewe mwenyewe una mapepo.
Hahaha.Mshana jr nakuruhusu uje naona vijana hawataki tena maombi, njoo uwatupie yale makitu
Tena tufanye mapema sanaInabidi tumteue mtu amfanyie counseling mapema naona huyu kijana anaweza akabugia sumu ya panya..
Jimena tunaomba umsaidie huyu kijana kabla hatujamkosa.Tena tufanye mapema sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli wifi ila hubby kaelewa na watu wengine wenye akili kubwaz wameelewa.Wifi sasa hii sentensi mtu akiisoma kwa wasiwasi atafikiri bae ni werrason [emoji134]
Haya ni majaribu madogo ili huduma iimarike shemHaya baba paroko...
Tunaombea Huduma iendelee..
Ooh lizzie umekuja!Wewe ni jipu
Good evening Valentina[emoji7] tulikumisi sana.Good evening kapukuz!
Mimi nayy hatuwezi kuachana mpaka kifo shemOoh lizzie umekuja!
Mmeo alikuwa anakitafuta. Nkamwambia uko maombi, akanichukia na kunitangaza vibayakuwa nimewaachanisha, hiv ni kweli?
Swirr vumilia hili jaribu, tuingie maombini washindweEti.
Mpe tu dawa apone huo uchizNakuja baby. Ila Fanya kama humuoni vile Huyo MTU
Pia dawa yake ipo soon atalia