Labda mwende mbinguni ila hapa hapa sahau hiloKama mwanaume lazima niwe na msimamo.
Kwa sasa hivi nipo na Sakayo na kila mtu anafahamu hapa..
Siwezi kumuacha sakayo hata kwa dawa..Moyo wangu uko kwa sakayo wala sitoacha kumpenda
Najua dhoruba kama hizi zipo ila nilizaliwaga na ngozi ngumu hata risasi ya 9mm haniingi..
Sakayo ni wangu! Wala hawezi kupata Transcend mwingine..
Sasa namalizia kazi za watu..
It will be okey soon..
mm sishangilii ila nakwambia ukweli tuSiku zote usipende kushangilia wenzako kuachana,sabab ipo cku na ww yatakupata kama hayo, hii game niachie mm na mhusika mkuu ila sio ww
ww jibu swali ww unamfaham zaidi yangu aiseeeee mapenzi yetu tuachie sisi usihangaike nayo kisa eti dadaako anatongozwaila wiii we kiboko aisee me kulazimisha mapenzi wkt sitakiwi mm siwezi
Ukweli upi uujuayomm sishangilii ila nakwambia ukweli tu
wewe huyo kweli Transcend huna rafikiUkwelii gani ??
Mimi hawa wanaume wanaotongoza kila mtu nawachana na wewe kidogo aninyanganye
Sikuvurugi shemUsinivuruge shemela ujue
Couple yenu tutaanza nayo
Akijibuuu nitagUna uhakika gani kama hanipendi?
Aisee we kweli kinganganizi khaaaLabda mwende mbinguni ila hapa hapa sahau hilo
huo huo wiii wa kupenda usipopendwaUkweli upi uujuayo
La moyoni ausipati chochote wiiiii ila mapenzi ya kulazimisha mabaya sana
Kuanza nayo kwenye niniCouple yenu tutaanza nayo
awe padre wa kikeSikuvurugi shem
Transcend ameshasema kwako alishafunga kurasa
Best way ni kujiunga tu na utumishi wa bwana kama mimi
Wewe ndo mbaya kujifanya hujui clkey kuwa wa tila ww n mbaya hivi unapata faida gani lkn
hahahahaha mkuu umenichekesha kweli
Calm down shem mambo yatakuwa sawa karibuniI don't think so!!!
Anyway, waage makapu wengine.
Nimeshindwa hata kula. Mdogo wangu Tutaonana
Be a man usiyumbishwe kwenye kile unachokiaminiClkey am dating Sakayo now..!
la moyoni la nan jaman me nimeongea kutokana na mapenzi anavyolazimishaLa moyoni au
uchocheziAkijibuuu nitag
Ahsante shem leo umeamka njema kweliWewe ndo mbaya kujifanya hujui clkey kuwa wa t