Makapuku Forum


Jamaa ni fundi
Ajax ya LVG ilikuwa moto
Huyo kipa sio Van Der Sar?
......
....
Wala hujakosea Mkuu ndio yeye. Ajax hiyo ilikuwa shida sana licha ya kuwa na vijana wengi kwenye kikosi kama vile Frank Na Ronald De Boer, Seedorf, Edgar Davids, Kluivert, Finidi George, Frank Rijkaard na Danny Blind ( Baba yake na Daley Blind wa Man Utd ) walimfunfa bingwa mtetezi Ac Milan kwenye fainali.
 
Duh hao vijana baadae wakaenda kutamba sehemu tofauti tofauti

Nafikiri kilikuwa kikosi chenye umri mdogo zaidi kubeba UEFA
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…