Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
1943 - John Major anazaliwa.
Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza kutoka 1990 mpaka 1997 kabla ya kumpisha Tony Blair.
Nilimshuhudia uzeeni1972 - Rui Costa anazaliwa.
Kiungo mchezeshaji wa zamani wa Fiorentina, Ac Milan, Benfica na timu ya taifa ya Ureno.
Anatajwa kama mmoja wa wachezaji bora wa kizazi chake alipewa ji a la utani " The Maestro " kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutandaza soka maridhawa.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Ac Milan mwaka 2003.
Wapumzike kwa Amani,na wafiwa wote poleni.....2013 - Watu takribani 36 wanapoteza maisha baada ya Jengo la Ghorofa 16 kudondoka Jijini Dar Es Salaam.
1972 - Rui Costa anazaliwa.
Kiungo mchezeshaji wa zamani wa Fiorentina, Ac Milan, Benfica na timu ya taifa ya Ureno.
Anatajwa kama mmoja wa wachezaji bora wa kizazi chake alipewa ji a la utani " The Maestro " kutokana na uwezo wake mkubwa wa kutandaza soka maridhawa.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Ac Milan mwaka 2003.
Asante mkuu Mussolin5,uwe na siku njema Mungu akubarikiLeo katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie siku njema.
Ahsante ndugu Mussolin5 kwa historical segmentLeo katika Historia:
Sina la ziada, niwatakie siku njema.
1973 - Marc Overmas anazaliwa.
Winga wa zamani wa Ajax, Arsenal, Barcelona na Timu ya Taifa ya Uholanzi.
Maarufu kama " The Flying Dutchman " alitwaa ubingwa wa Uefa Champions League akiwa na Ajax mwaka 1995 chini ya Louis Van Gaal.
1987 - Dimitry Payet anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa West Ham anayecheza Marseille na timu ya taifa ya Ufaransa.
Mmoja kati ya Viungo hodari kwa mipira iliyokufa. ( Free kicks and Penalties )
AmenWapendwa Makapuku muwe na siku njema wagonjwa poleni ,mnaopitia changamoto yoyote Mungu aingilie kati zipite salama mbarikiwe sana.
1991 - N'Golo Kante anazaliwa.
Kiungo mkabaji wa klabu ya Chelsea na timu ya taifa ya Ufaransa.
Shujaa wa klabu ya Leicester City ilipochuku Ubingwa wa EPL mwaka 2016.
AmenAsante mkuu Bitoz kwa picha za historia Mungu akubariki uwe na siku njema
Ukumbuke kuwa, Vietnam ya Kaskazini ilikuwa supported na Soviet Union ( Russia )Hivi kwa sasa ipigwe battle kati yao nani ataibuka mshindi?
Fundi hodari wa mpira.Nilimshuhudia uzeeni
1993 - Thorgan Hazard anazaliwa.
Winga wa zamani wa Chelsea anayekipiga klabu ya Borussia Monchegladbach na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Ni ndugu na Eden Hazard.
AmenAsante mkuu Mussolin5,uwe na siku njema Mungu akubariki