Naatafuta wa kunipenda mimi,
Nimechoka na penzi la uongo,
Naa sijui kama nitakuja penda,
Nimechoka na penzi la uongo....
Wimbo: Natafuta
Msanii: Nyota Ndogo.
Ni mahususi kwa mabinti wote walio 'single' na wanahitaji kuwa na wapenzi.
Nataka ukupe ka kitchen part kidogo.Jamani mpenzi, unataka dada aniseme sasa???
Fanya hivyo dadaAhhh hata sijui kesho nitaenda hospital
Ikiwa kunguru na ndege wengine wasio lima wala kutafuta pesa wanaishi, si zaidi mimi ninayemtumikia Mungu kuwa yeye atanitunza? Nikiwatumikia kwa moyo na mkapona shida zenu si Mungu atawapa pesa mnitunze bila hata kuwaomba?
Swalama vipi hali!Habari za jioni dears
toka uingie humu vijana wamekuwa wanaachwa badala ya kuacha.Manuu kuna mchawi huku
Sorry may be tunatumia application tofauti because hapa mimi niko page ya 1518
Kama mistari yenyewe ndiyo hii aisee utasubiri sana.Naatafuta wa kunipenda mimi,
Nimechoka na penzi la uongo,
Naa sijui kama nitakuja penda,
Nimechoka na penzi la uongo....
Wimbo: Natafuta
Msanii: Nyota Ndogo.
Ni mahususi kwa mabinti wote walio 'single' na wanahitaji kuwa na wapenzi.
Utakuwa na pepo shika kichwa chako nikuombee..zaburi 107:20 imeandikwa Mungu wetu hulituma neno lake nalo hututoa katika shida na taabu zetu..sema amenMimi Leo siko poa sana mwili hauna ushirikiano nami.
Basi mimi nitakuita Jan Bill, Jambilo nasikia ukakasi kukuita.Hiyo ni siri yangu mkuu, imebeba maana nzito sana, nikiweka wazi napoteza utam wa jina hili...inatamkwa..jimbiliuo
Yaani naumwa umwa tu siku nzima nimeshinda job hovyo Sana.Kivipi
Ninakupenda sana na ntaendelea kukupenda lakini navunja rasmi ule uhusiano wetu kwa lile kosa la kuharibu kazi yangu, sawaHapa dear..for you.
Anakuogopa wewe?Mshana jr anaogopa kuja labda niondoke humu
acha kunitumia kama sehemu ya kufikisha ujumbe !Sema tu mkuu watakjsikia
Ameeeen mtumishi. Napokea uponyaji kwa jina la Yesu.Utakuwa na pepo shika kichwa chako nikuombee..zaburi 107:20 imeandikwa Mungu wetu hulituma neno lake nalo hututoa katika shida na taabu zetu..sema amen