Makapuku Forum

hahahhh niambie jibu gan
Ikifika saa 8 za usiku hivi huwa mnakuwa off-line jf

Mkishakuwa off-line mnapigiana simu..!

Dak 1-3 ni salamu na stori za mchana ulikuwa vipi..

Dak 4-5 jf palikuwa vipi mchana


Dak 5 - Lee anaaza kuongea sauti ya base na ya kubana..

Dak 6- Shunie anaaza kuongea kwa sauti ya kibondei ( mtoto wa kitanga huyo ujue lakini
)


Dak 7-8 ; mnaanza kunong'onezana kwa sauti za kubana...


Dak 9-10 ; dirty talk inaaanza hapa..

Dak 11 - 2 Hr - mko kwenye ndoto



Sasa kwanini mashuka yasifuliwe asubuhi..

 
shemela umekua nabii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…