Makapuku Forum

Tuko pamoja jux wivu.
Mm nishapata wangu sijui wengine.
Baba mchungaji hajajulikana.
Tunaanzisha mgomo wa kutochat humu mpaka atajwe...ila pimbi hali yake sio nzuri kivile
hahahhh jamaan baby wangu kawa jux wivu [emoji23] by the way hongera sana mondray kwa kutoka kwenye chama la geisha huko naona umewachia wakina nyagei na wenzake
 
awww miss u badly hunnie [emoji8] hahahh najua tu lazima umiss ukorofi wangu nakuombea baby urudi tena kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…