BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
KaribuuuuHodi humu
Mweh!...umepewa kampani tu, huku kuanza kumuita ukhuty beibe kumeanzia wapi?
1953 - Melchior Ndadaye anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 4 nchini Burundi.
Ndio Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini Burundi.
Alidumu madarakani kwa miezi 3 tu kabla ya kuuwawa katika Jaribio la Mapinduzi lililoshindwa kuangusha Serikali yake.
1959 - Laura Chinchilla anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa Costa Rica kuanzia 2010 mpaka 2014.
Ndio mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini humo.
1960 - Jose Maria Neves anazaliwa.
Alikuwa ni Waziri Mkuu wa Cape Verde.
1946 - Alejandro Toledo anazaliwa.
Ni mwanasiasa na Rais wa 48 wa Peru.
Naona Maprezidaa birthdayz1945 - Rodrigo Durtete anazaliwa.
Ni Rais wa 16 na wa sasa wa Philippines.
Mmoja kati ya viongozi wenye misimamo thabiti dhidi ya madawa ya kulevya.
1984 - Chistopher Samba anazaliwa.
Beki wa zamani wa Blackburn Rovers, QPR na timu ya taifa ya Congo.
1959 - Laura Chinchilla anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa Costa Rica kuanzia 2010 mpaka 2014.
Ndio mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo nchini humo.
Siku za Maprezidaa.....Sizo lini???1953 - Melchior Ndadaye anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 4 nchini Burundi.
Ndio Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini Burundi.
Alidumu madarakani kwa miezi 3 tu kabla ya kuuwawa katika Jaribio la Mapinduzi lililoshindwa kuangusha Serikali yake.
Merci Papaa Musso, mutu ya akili mingiLeo katika Historia;
NIWATAKIE SIKU NJEMA.
Do you mean Hippopotamus???huyu jamaa kiboko
Hii nchi Kumbe walishamwaga damu ya Rais kabla ya ile ya 1994!!!1953 - Melchior Ndadaye anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa 4 nchini Burundi.
Ndio Rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini Burundi.
Alidumu madarakani kwa miezi 3 tu kabla ya kuuwawa katika Jaribio la Mapinduzi lililoshindwa kuangusha Serikali yake.
1986 - Lady Gaga anazaliwa.
Ni mwanamuziki mwenye vituko kutoka nchini Marekani.
Yap, Hitler alimvulia kofia.Nakumbuka Olympic alivyomnyamazisha Hitler
......
Pamoja sana.Asante Mussolin na Bitoz kwa picha
Leo ni siku yao.Naona Maprezidaa birthdayz
Mwezi wa 10 au 11Siku za Maprezidaa.....Sizo lini???