Makapuku Forum

Morning utamu wangu!

We had a nice bedtime yesterday..


Nakupenda pia Princess wangu S

Ngoja tukawajibike mama!

I love you my dream woman!
 
Morning family..!

Leo ni siku nyingine !

Lile ulilopanga jana hakikisha linafanikiwa leo leo..kama kuna ambalo jana hukumaliza hakikisha unalimaliza leo


Morning motivational

changamoto ndio mwanzo wa ufumbuzi ..penda sana kuwa mtu wa changamoto.

Face the reality..! Make it happen
 
Leo katika Historia:

1990 - Rais wa Marekani George H.W. Bush anampatia Medali/Nishani ya dhahabu mwanariadha wa Nchi hiyo Marehemu Jesse Owens kwa mchango wake katika riadha na kuipelekea sifa kubwa nchi yake.

Nishani hizo ambazo hutolewa na Rais hujulikana kama Congressional Gold Medal ambazo hupewa kwa watu mbalimbali nchini humo katika kutambua michango yao katika Nchi.

Tuzo ya Jesse ilipokelewa na Familia yake kwakuwa yeye mwenyewe alishafariki Dunia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…