Makapuku Forum

Umemaliza mtumish na umenikumbusha Methali 28:1 inasema...‘’Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba. Barikiwa sana..

Umeshindaje baba angu??
Kaz niadje???(kwa sauti ya milimani)

Umemaliza mtumish na umenikumbusha Methali 28:1 inasema...‘’Waovu hukimbia wasipofuatiwa na mtu; Bali wenye haki ni wajasiri kama simba. Barikiwa sana..
 
Amen baby...
Asante na ubarikiwe
Hapa ndio nakupenda zaid....hivi baby umelelewa kwenye familia ya kilokole eehh[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…