Nyagei
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 13,201
- 44,601
Yes umeachiwa na ameruhusu upigwe tu hewaniNimesoma mahali mh.rais kaagiza aachiwe
Yes umeachiwa na ameruhusu upigwe tu hewaniNimesoma mahali mh.rais kaagiza aachiwe
Njema sanaPoa
Za wewe apo
AsanteAhsante kwa ushauri
Karibuni sana
Mmmmhhakuna
SawaNjema sana
Muhimu sanasana,usiache kuomba pia na kuombea kila dawa unayokunywaKipindi hichi nimekuwa na nidhamu ya dozi sizembei mpaka nimalize
Amen mama mchungajiMuhimu sanasana,usiache kuomba pia na kuombea kila dawa unayokunywa
KaribuAmen mama mchungaji
Lee simuamini..Lee alisema ni werasson
Baby akeePole mnoo jamani.
Kunywa maji mengi na matunda kwa sana, jioni naja na mume wangu kukutembelea
Asante love akee, zaidi pole wewe honey akee mie.Baby akee
Pole kwa kazi
Poa za weweHabari za jioni wakuu
hahahhah shemela niachie mume wangu mwenyewe nimemmiss na vituko vyakeLee simuamini..
Kesho anaweza kuja akasema no wewe..
safi mzima mbona siku hizi umekua mpole hiviHabari za jioni wakuu
Mabadiliko tu ya tabia nchi bibie. Asili yangu upole tu ila hua tu najitoa mbongosafi mzima mbona siku hizi umekua mpole hivi
NzuriPoa za wewe
Am back my love..!Nakumiss tu baby
Kisheti poleeMalaria
DaaaahAm back my love..!