Makapuku Forum

Makapuku Forum

Morning all!!

Mornie my love T Vipi hali yako mume wangu. Mie mzima wa afya ni vile Nakupenda sana
Morning S wa T

Niko pouwa kabisa! Na niko napiga kazi kama mkulu anavyosema tupige kazi...

Leo nimerudi kazini rasmi baada ya likizo ya siku 42 ...

Huku nitapamiss sana..! Nitakuwa naingia kwa kusua sua..ila maadamu Mke wangu yupo lazima nije mama..

I love you so much Sakayo wangu..

Back to work .

Live long makapuku..
 
Live long mkuu,kazi njema
 
Morning family...

Leo nimeamka na motisha ya kazi sana..sijui kwanini..

Kawajibikeni wakuu, tupunguze tulalamika sasa..

One thing in life;

When you change your thoughts,you change you world..

Muwe na siku mubashara kabisa..
 
Asante mkuu asante kwa ushauri hakika malalamiko can't change our lives ,tujitahidi kufanya kazi kwa bidii .
 
Morning S wa T

Niko pouwa kabisa! Na niko napiga kazi kama mkulu anavyosema tupige kazi...

Leo nimerudi kazini rasmi baada ya likizo ya siku 42 ...

Huku nitapamiss sana..! Nitakuwa naingia kwa kusua sua..ila maadamu Mke wangu yupo lazima nije mama..

I love you so much Sakayo wangu..

Back to work .

Live long makapuku..
Nitakumiss mnoo mume wangu!!!

Itabidi niondoke kapuku tuu sasa, wengine tutakutana kwenye nyuzi zingine.

Nitawamiss mnoo, all the best
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom