Hahahahahahhah yupo nimekutana nae mmu kwenye uzi wanawake wanashobokea wenye magari
mm nilikua tofaut nao wakina Daby nikawaambia sio wote mara akaja manga akaniambia ndio mana mliniambia nitoe picha ya gari yangu kwenye avatar [emoji23][emoji23] nikakukumbuka ile tulivyombadilisha avatar kilazima
Kwani uongoo
hHahahhh manga ni chizi aki tenaHahaha
Umenikumbusha mbaaali
Dada mbona kila ninavyokuona umejipodoaKwani uongoo
HahahahHahahhh manga ni chizi aki tena
hahahhahah leo mchana nimecheka sana akaniambia shunie we si hutaki gari nilishaliuza nikubali sasa [emoji23][emoji23]Hahaha
Yule hazimtoshi bhana
nipo nae huku maeneo flani ivimalkia umefichwa wapi eb ukuje
Ndivyo nilivyo bhana, sasa sura ka ya babangu najipodoa wapi??!Dada mbona kila ninavyokuona umejipodoa
Mmh acha kunilisha matango pori na wkt kila nikikuona umejipodoaNdivyo nilivyo bhana, sasa sura ka ya babangu najipodoa wapi??!
Hahahahahahhahah leo mchana nimecheka sana akaniambia shunie we si hutaki gari nilishaliuza nikubali sasa [emoji23][emoji23]
mwambie aje tumemmissnipo nae huku maeneo flani ivi
usimwambie mtu
atakuja badae kidogomwambie aje tumemmiss
HahahaMmh acha kunilisha matango pori na wkt kila nikikuona umejipodoa
Mhatakuja badae kidogo
teh tehHahaha
Si uongee taratibu na wewe, unajua ngozi ya kiume hata usiponawa waonekana umepaka pouda
BabeShunie na wewe unapenda magari?
Mama mchyngaji amina kubwaMmeshindaje wapendwa habari za ibada poleni na majukumu yote niliwamis sana ,nimewaombea sana wagonjwa wapone,wanaopitia changamoto mbalimbali Mungu aingilie kati ..najua yote yanawezekana kwa Mungu atajibu kwa wakati Amen
Mkuu asante sana nimeshinda vyemaSafi mkuu umeshindaje habari za jumapili Barikiwa
Mama mchungaji be blessedIlikua safi