Shadrack K. Lwila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2016
- 4,925
- 14,297
KwetuHumu ni wapii??
KwetuHumu ni wapii??
Ufafanuz kidogoKwetu
Ufafanuzi kuhusu nini usije kuwa expendable.Ufafanuz kidogo
Mimi ni member mpya humu jfUfafanuzi kuhusu nini usije kuwa expendable.
Haya jitambulishe kwa ufupi kwanza
Safi mkuu umeshindaje habari za jumapili BarikiwaHumu niaje
Njema mkuu pole vipi hali yako upone mkuuHabari za mchana...?
Hahahaaawote wapo sahihi![]()
![]()
![]()
![]()
.....
Haswaaaa
Hii ni kweli na nimeshuhudia
BadoHodi za mchana makapuku mmepata lanch
Naendelea pouwa mkuu..Njema mkuu pole vipi hali yako upone mkuu
Kweli ni vema kuwa special siku specialMtu unakuta anajiremba wee maisha yake yoote ila hata kutolewa posa hajawahi
Siku nikiolewa ntajipodoa buanaa
Kwelikila kitu n kipaji ujue acha waendelee na kipaji chao cha kujiremba![]()
Hata mm sijui kabisa kujipodoaYani ww uko kama mimi, rafiki zangu washagive up kuhusu urembo kwangu...mama angu ndo mpaka tunagombana ila mimi ndo vile tena hata kustuka sishtuki
PoaHey huku mko pouwa huku
Inapendeza kuwa simple,maana kujipodoa si kupendeza unajuaMimi uso wangu hauijui hata lotion wala powder toka nipate ufahamu
Ila napenda tu kuona wengine wakipata, i just fell in love with simplicity
HahahaaChato
![]()
![]()
![]()
...