Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
Mmmndio naingia jf
Mmmndio naingia jf
si ww dada nilipokutoa nilikwambia naona T kaniquote anakutafuta ila nilikua sijaifunguaMaficho yapi mdogo wangu, ujue Nakupenda
usiku huu ndio naingia ila mchana na asbh nilikuwepo
Usijali mpenzi, niko kwa ajili yako!!!
Hivi Shunie hajakupa Salam zangu
Mafichoni wapi?nimetoka kumtoa mafichoni
Na nimekuja sababu yake tuu humu!!si ww dada nilipokutoa nilikwambia naona T kaniquote anakutafuta ila nilikua sijaifungua
Kwahilo nimefelihahahhah na ww pia mama mchungaji
kwenye msg za kawaidaI love you
Mafichoni wapi?

najua bada ya kukupa salam tu umekujaNa nimekuja sababu yake tuu humu!!
Nashukuru kwa taarifa
Poausiku huu ndio naingia ila mchana na asbh nilikuwepo
kwema dada sijakuona tu toka asbh manga anakusalimia sanaPoa
Kwema lakini

Nilikuwa tu nyumbani mpenzi nimepumzikaI love you
Mafichoni wapi?
sio peke yako hiyo kazi anaiweza sakayoKwahilo nimefeli
Nitaachaje kuja kumsikiliza mume wa ndoto zangu lakininajua bada ya kukupa salam tu umekuja
Kweli dada mume wa ndoto zakoNitaachaje kuja kumsikiliza mume wa ndoto zangu lakini
Hahahakwema dada sijakuona tu toka asbh manga anakusalimia sana![]()
Tunakumis Lee Mungu akubariki na akufanyie wepesiWakuu hope mko salama wote ,Leo sijawaletea magazeti ila naona baby anashukuliwa atakuwa amefanya hivo nimeskip post
Ntawamisi ila nawakumbuka na ntakuwa nawajulia hali kimagumashi kwa hizi siku mbili tatu
Nawapenda sana wote
Baby shunie take care ....
Ila ntaumis utani wetu hasa wanakamati wenzangu
Mie najipodoa kwenye sherehe tuu.sio peke yako hiyo kazi anaiweza sakayo

AmenKweli dada mume wa ndoto zako
hahahhah yupo nimekutana nae mmu kwenye uzi wanawake wanashobokea wenye magariHahaha
Hivi yupo, sijamuona siku nyingii
Nipo mdogo wangu, leo nimeamua kulala siku nzima

nikakukumbuka ile tulivyombadilisha avatar kilazima
MmhMie najipodoa kwenye sherehe tuu.
Rangi yangu yatosha bila makeup![]()