Mfano mimi sizungumzi sana humu kuhusu mapenzi lakini haiwezi kuwa sababu ya kuwazingua wanaozungumza sana kuhusu mapenzi bali huwa nakaa tu pembeni km sijaona swaga iliyonivutiaMimi nadhani hakua serious labda
Ni kweli na bado tunajali michango yako...nadhani labda anafeel inferior kwakua kashindwa kuendana na mazingira!! Nadhani atakua ameelewaMfano mimi sizungumzi sana humu kuhusu mapenzi lakini haiwezi kuwa sababu ya kuwazingua wanaozungumza sana kuhusu mapenzi bali huwa nakaa tu pembeni km sijapna swaga iliyonivutia
Anyway yameisha
.......
Ukurasa wa pili:Shikamoo Kipanya...
Labda Chato ya PlutoUkurasa wa pili:
*Chato yaipiku Dar kwa maendeleo
*Licha ya ukame Tz yaanzisha kiwanda cha maziwa
*JPM azindua ufugaji wa sisimizi
*Bashite afaulu STD 7 achaguliwa Ilboru
*Bowing 29 zatua Chato International Airport kila siku
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Khaaaa malkia vipi tena ana mke na watto wa3 sasa hivi n manager simba una shida gani nimwambieUwiiiiiiiii kaoa?
kweliiiiMmmmmh
[emoji23][emoji23]KAPUKU fc
ulilala sa ngp malkia [emoji23] naona ulibaki mwenyeweMlale salama, nafunga forum hii mwenyewe saiz, maana wote mnaota muda huu....mlio kazini niwatakie kazi njema
Nawapenda
nenda celebrity forum mkuu umekosea jukwaaOoh my ghosh!! Video|picha CHAFU za mlimbwende WEMA SEPETU zavuja!! tazama HAPA >>>>http://riffhold.com/O85
>>>http://riffhold.com/O85
sante mama mchungaji na kwako piaMuwe na jumapili njema yenye baraka tele makapuku, Mungu aonekane kwenu na akajibu maombi yenu ,awape haja ya mioyo yenu siku njema
[emoji23][emoji23][emoji23]Usiwapangie cha kupost
Hakuna mada zinazoanzishwa sasa waongee kuhusu Bashite nini?
Humu kila mtu yupo huru tusileteane Umagufuli
Ukiona kitu hukipendi anzisha mada yako ubadili upepo
Hapa ni chit chat tusipangiane cha kupost
Anzisha mada unayoona inafaa badala ya kulalamika tu
...........
halaf mapenzi ndio yana run dunia ajue [emoji23]Usiwapangie cha kupost
Hakuna mada zinazoanzishwa sasa waongee kuhusu Bashite nini?
Humu kila mtu yupo huru tusileteane Umagufuli
Ukiona kitu hukipendi anzisha mada yako ubadili upepo
Hapa ni chit chat tusipangiane cha kupost
Anzisha mada unayoona inafaa badala ya kulalamika tu
...........
aliona mbali
[emoji23][emoji23]
Nilikutana nae jana...sasa mimi sifatiliagi mambo ya mipira simjui ndo kutoa utambulishoo doh [emoji23][emoji23][emoji23] pm yako ikifunguka ntakumalzia storyKhaaaa malkia vipi tena ana mke na watto wa3 sasa hivi n manager simba una shida gani nimwambie
Saa sita....nilifunga forum kumbe nimesahau kuweka kufuli na snipes kumbe hajalalaulilala sa ngp malkia [emoji23] naona ulibaki mwenyewe
kwahiyo limoyo likakudondokea [emoji23][emoji23] mkamalizanaje nikupe no au alikupa nitamchekeshaNilikutana nae jana...sasa mimi sifatiliagi mambo ya mipira simjui ndo kutoa utambulishoo doh [emoji23][emoji23][emoji23] pm yako ikifunguka ntakumalzia story