umri huo unajua fb unaijua insta kweli we babu inabidi tu nikuite babu bas bibi yangu mwenyewe hajafikisha huo umriKwanini hutaki kuamini wakati mhusika mimi ndo nimekutajia haya nichagulie wewe basi umri
Sure kapuku imetulia SanaaUsiseme huku hawazungumzii sana siasa yaani huku ndio kabisaa maana wanaongea kila wanachojisikia. Labda humu kapuku ndio hakuna hizo mambo
Mmmmhsipo nje ya mada najadili mada iliyoletwa na mondray nahisi mtakua mmenielewa
hahahhhh ipeleke tuSasa mbona mnachanganya pumba
Nilitaka nipeleke Mmu nkaogopa ban
Unajitakiaa ban nyinginewe mpenzi wa majukwaa gan
na shedede mungu anakuonaWapendwa mmeamkaje ,Mungu yu mwema mimi niko salama nawatakia jumamosi njema yenye baraka tele,wagonjwa poleni Mungu anawaponya,wenyechangamoto mbalimbali msikate tamaa Mungu anatengeneza njia pasipo na njia mapito yana njia ya kutokea mtashinda ..Nyagei,Shunie,Sakayo Malkia Mungu awape uponyaji wa kudumu tuwepo pamoja tena kwa furaha ....Werrason ulipo Mungu akupiganie siku njema
Mmmmh ...so mwanamke hawez shauri mme aongeze mke??Uwe unauliza swali linalojitosheleza.
Hilo halitokaa litokee kabisaa. Hakuna mwanamke anaependa kushare mume hata siku moja.
Na hao a mbao ni dini inaruhusu anakubali tu sababu ni sheria, lakini sio Swala la upendo.
T Nakupenda mie!!!
Geuza hizo namba, ya kwanza iwe ya mwisho na ya mwisho iwe ya kwanzaumri huo unajua fb unaijua insta kweli we babu inabidi tu nikuite babu bas bibi yangu mwenyewe hajafikisha huo umri
Letaa mrejeshooo wa manziii
Dada kuna mada mondray aliileta labda umeiruka ndio mm nipo nayoMmmmh
Halitokaa litokee hiloMmmmh ...so mwanamke hawez shauri mme aongeze mke??
Hunitakii memahahahhhh ipeleke tu
ban nyingine tenaUnajitakiaa ban nyingine
rudi huku unaenda wapi?na shedede mungu anakuona
Bado nipo inprogressLetaa mrejeshooo wa manziii
Zamu yako kufikishaaIlijukwaa linatisha 150k soon
nimeshaelewa dada humu mambo ya kujibishana na wadogo zetu tuGeuza hizo namba, ya kwanza iwe ya mwisho na ya mwisho iwe ya kwanza