Kipato
Kuna wale wanaooa wake zaidi ya mmoja sababu tu dini inaruhusu, lakini likija suala la kipato cha kutosheleza mahitaji ya familia hizo hana.
Hii Inapelekea kuwa na watoto wenye afya duni, maradhi, na wengine hushindwa hata kuwaendeleza watoto wao kielimu